DOGO PATEN FT. ZUCHU – AFANDE REMIX



Dogo Paten Ft Zuchu – Afande Remix | Singeli Mpya 2025

"Afande au Mapenzi?" Hili ndilo swali ambalo limegeuka kuwa kauli maarufu mitandaoni baada ya wimbo huu kumtambulisha Dogo Paten kwa nguvu mpya kwenye ulimwengu wa muziki wa Singeli.

Mwaka huu 2025, Dogo Paten amepata mafanikio makubwa kupitia kipande cha wimbo wake kilichoenea sana kwenye mitandao ya kijamii kama TikTok na Facebook, na kuvutia hata wasanii wakubwa.

Msanii nyota Zuchu ameungana naye kwenye Remix ya "Afande", na sasa tunapata ladha mpya zaidi ya wimbo huu maarufu.

Sikiliza Afande Original:

>> Bonyeza hapa kuisikiliza Afande ya Dogo Paten (Video)


Hakikisha unafuata blog hii kwa nyimbo mpya, habari kali na updates kutoka kwa wasanii unaowapenda.

Post a Comment

0 Comments